Thursday, 1 December 2011
Shunga sana! Subject: Jinsi ya Kuepuka Guruneti
1. Tembea peke yako washana na kirende (yaani 'crowd' kwa kikuyu)
.2. Tembea haraka haraka ndugu yangu, ukikaribia Kencom ama Ambassador ama stage ya Posta, simama then look left and right tentimes harafu upite mbio...
3. Ukiingia kwa matatu,Kenya Bus au City Hoppa kaa karibu na mlango, wariah au Walalu suspicious akiingia kwa hiyo matatu tafadhari shuka. Afadhali uende mguu nyumbani kuliko ku-fly dead!
4. Hapana kunywa pombe ya town, kuwa unakunywa huko mukuru kwa njenga, kiamaiko na mathare na kadhalika.
5. Supermarket unaenda kufanya nini?Kama ni lazima ufanye shopping enda lakini usipite hapo kwa tills, tuma attendant akuletee shopping yako ukiwa hapo - kama unaangalia mlango!
6. Usinunue avocado za pale ngara market au za gikomba, hapo ni karibu sana na eastleigh na nguruneti inaweza kuuzwa kama avocado. Shunga sana!
7. Hata kukaa tu ndeee kwa sitting ni hatia, kuna Yule jamaa aripigwo risasi akiwa sitting last week. Ukiwa kwa nyumba jipe shugli tafadhari..
BARIKIWENI SANA WANDUNGU NA WADADA
No comments:
Post a Comment