Thursday, 21 February 2013

Kama umezoea kwenda kwa beshte weekend please follow this simple common rules

COMMON COURTESY RULES

1. ...ukienda long call,kuna vim hapo juu kama huoni spray,mwaga b4 uflash.Sitaki harufu kwa nyumba.

2. Usidunge dunge kiwi na brush pliz,swipe it uniformly n neatly tafatali

3. Toothpaste is squeezed from bottom up

4. Usidunge dunge blueband tafadhali.Scoop it neatly.And please usiache bread crumbs ndani

5. Tukijifunika blanket moja usiku,usishute.Only d owner iz permitted 2 do dat.

6. Kama we ni mgeni wa kila siku usiguse soda na delmonte.Yako ni hio Highlands.Maji pia iko

7. Kama unaplan kuja na mtu mwingine nijulishe mapema......kwangu si kwa politician.

8. Na ka wee hunuka miguu kuja na socks za kuvaa juu ya viatu cos sitaki utoe viatu

9. kama utakaa kaa kuna kitu inaitwa cost sharing... Nguo zangu ni zangu hapana jaribu kushika hi tsho.

10. Ukioga,usiache mafudhi kwa sabuni please.Hiyo sabuni ndio natumia kuosha sura asubuhi.

11.___________________________ Kraziest kenyans

No comments:

Post a Comment