Friday, 12 April 2013

Just for Laughter ......


1. Ati mat ni 300 kwani nashuka na viti?
2. Ati kuona simba 500? kwani ni simba wa yuda?
3. Eti bra ni 900!kwani ni long sleeved?
4. Ati unga ya ugali 200,kwani inakam na mboga?
5. Ati kuingia marine park Ni 7k ,kwani wako Na ile whale ilimeza Jonah?
6. Ati bash ya kuruka mwaka ni 5000/= kwani tunaruka hadi 2014
7. Ati kiatu ni 5k kwani inakam na barabara yake??
8. Ati amarula ni 5k kwani inak...am na amapencils na amasharpeners ama amaset?
9. Ati nyama kilo 800/- kwani hiyo mbuzi ilipigania uhuru
10. Hehe ati nyanya moja ashu, kwani ina kitunguu ndani?
11. Ati condom 100/= kwani inakuja na anti-virus?
12. Ati padlock ya solex 1500 kwani inakuja na watchman?
13. Ati horror movie ni sh 500/= kwani ni shetani mwenyewe ameact ?
14. Ati sabuni 200 kwani inaosha dhambi
15. Ati weave 2k,kwani imetengenezwa na nywele ya samson?
17. Ati kinyozi mia mbili, kwani unaacha kichwa ikinyolewa unaenda maraundi
18. Ati kio 2000 kwani ni touch screen
19. Ati potty 2k kwani iko na flash?
20. Ati Kitanda ni 50 k kwani ikona bibi
21. Ati successcard ni 400,kwani ina mwakenya
22. Ati PK ni 30 bob , kwani imetafunwa na Ferguson?
23. Ati yai boilo 30/= Kwani Kuku ilitagia Nairobi Hospital
24. Ati belt 2k, kwani unaivaa ndethe

No comments:

Post a Comment