Monday, 21 July 2014

Minimum Basic Rules:-Visitors who come to my keja


.... from today,kindly heed the following 
1. If its the first visit beba hata ka-loaf....na
maziwa mbili @ least...ama tutawatch tu TV.
2. Usikanyage carpet yangu na slippers,hautakua around ni kiosha.
3. Toothpaste is squeezed from the bottom up..Funda acha kuifinya ovyo..
4. Usidunge dunge blueband tafadhali.Scoop it neatly.And please usiache bread crumbs ndani.
5. Ukiserve food tafadhali acha kidogo kwa Sufuria..Sijiskii kupika tena kesho
6. Kama ww ni mgeni wa kila siku usiguse soda na delmonte.Yako ni hio Highlands.Maji pia iko.
7. The remote is ALWAYS MINE.Na News ni Citizen News pekee.
8. Ukija bila notice, tafadhali kuja kama
umeshiba.
9. Kuna Pizza Inn hapo nje kwa gate but usiwe na expectation..
10. Ukilala chini utosheke...ala huku ni kwangu.
11.na ukizoea sanasana...eti mara nyingi supper ni kwangu...uwe unacontribute kwa shopping, hii ni tao bana. Otherwise....Karibuni

No comments:

Post a Comment