Wednesday, 26 October 2011

Mlevi Makame from Pemba…


He woke his wife in the middle of the night and their conversation went like this…

“Bibi eeh? Bibiyee..? ‘Nashikwa na n’kojo mwiziooo…!!”

His wife said…. “Salaalah! Si wende kwani mpaka unian’sheee, kwani
ushakuwa ntoto n’dogo weyeee..???”

Makame said “Haya Bin’dogoo, nilikuwa nakutaarifu tuu…!!”

Few minutes later, MAKAME came back and said…!!

“Nke wanguu…! Nataka nikuambie maneno ya ajabuuu, yan’tokea chooni!!”

Now she is angry for being woken up for the second time, She said…..

“Salaalah…! Mwanamme kama hilo tembo huliwezi, si uliwache!! Haya,
kitu gani tena cha ajabu ambacho hujaniambia wataka nambia tena…?”

MAKAME: “Nilipokwenda chooni, nilipofungua n’lango, taa ikawaka
na nilipofunga n’lango taa izimika yenyewe….!! Balahau Si maajabu
tena hayo n’ke wanguuu…!?!”

His wife sat up and said…
“Nlaanifu wee… tena shetwani nkubwa… kabisa weyee, n’jukuu wa
bilisi, n’shenzi nkubwa!!!!! Ushakojoa tena ndani ya firiji…!!!!!!”

No comments:

Post a Comment